v1.0.0

Sera ya Faragha

Jinsi tunavyokusanya, kutumia, kulinda na kuhifadhi taarifa binafsi.

← Help

Tarehe ya kuanza: 21 Aug 2026 20:33

Kilichobadilika: Toleo la kwanza la policy.
1. Taarifa tunazokusanya Tunahifadhi taarifa za akaunti, contacts, recipients, campaigns, malipo, delivery, device/login na audit records zinazohitajika kuendesha huduma. 2. Madhumuni Taarifa hutumika kuthibitisha akaunti, kutoa huduma, kuzuia fraud, kutuma notifications, kutoa support na kutimiza wajibu wa kisheria. 3. Kushirikisha taarifa Taarifa zinaweza kushirikishwa na SMS, email, hosting au payment providers kwa kiwango kinachohitajika kutoa huduma. Hatuuzi contact lists kwa third-party marketing. 4. Usalama na retention Tunatumia access controls, audit logs na backups. Data huhifadhiwa kwa muda unaohitajika kwa huduma, usalama, malipo na sheria. 5. Haki zako Unaweza kuomba access, correction, export, restriction au deletion pale inapowezekana, na kuwasiliana kupitia sms@nyanzaflash.com. 6. Recipients Client anayepakia recipient data anawajibika kuwa na ruhusa au msingi halali wa kuitumia.

Omba kufuta account au data

Sera ya kampuni: records muhimu za malipo, miamala na invoices, ushahidi wa security/kukubali sera, na record ndogo ya ombi la kufuta data, huhifadhiwa hadi miaka 2 baada ya kufuta account au kufunga ombi. Staff wenye ruhusa pekee wanaweza kuziona; hazitumiki kwa matangazo. Agizo maalumu la kisheria linaweza kuhitaji muda zaidi; tutakueleza records zinazohusika, sababu na muda badala ya kuhifadhi data zote bila kikomo.

Omba kufuta account au data

Content verification: c35fbc2d6e0f…