v1.0.0

Sera ya Matumizi Yanayokubalika

Masharti ya kuzuia spam, fraud, vitisho na matumizi haramu.

← Help

Tarehe ya kuanza: 21 Aug 2026 20:33

Kilichobadilika: Toleo la kwanza la policy.
Hairuhusiwi kutuma spam, fraud, phishing, vitisho, unyanyasaji, maudhui haramu, taarifa za kupotosha au ujumbe kwa contacts zisizo na msingi halali. Sender ID lazima iwe halali na iliyoidhinishwa. Hairuhusiwi kujifanya taasisi au mtu mwingine. Client lazima aheshimu opt-out, STOP na suppression lists. Kujaribu kurudisha namba iliyojiondoa bila ruhusa hairuhusiwi. Tunaweza kusimamisha campaign au account, kuhifadhi ushahidi wa audit na kushirikiana na mamlaka pale inapohitajika.

Content verification: 93269d359521…