Maswali ya Mara kwa Mara

Tafuta au fungua jibu kwa category.

SMS units
Kwa nini message moja inaweza kuwa SMS 2, 3 au zaidi?

SMS unit hutegemea characters na encoding. GSM-7 hutumia 160 kwa SMS moja na 153 kwa kila sehemu ya ujumbe mrefu; Unicode hutumia 70 na kisha 67. Mfumo huhesabu baada ya placeholders kubadilishwa kwa kila recipient.

Excel na contacts
Namba lazima iwe Column A?

Hapana. Namba inaweza kuwa column yoyote na hata columns zaidi ya moja. Chagua sheet, heading line na kila column ya Recipient phone wakati wa mapping.

Excel na contacts
Heading line haipo line ya kwanza nifanye nini?

Tumia Auto detect au chagua line yenye headings. Mfumo unaweza kutafuta headings kwenye lines zinazofuata.

Placeholders
Placeholders zinatengenezwa vipi?

Headings za Excel na custom fields za contact list hugeuka tags kama {name}, {amount} au {table}. Tag ionekane tu ikiwa imekuwa mapped.

Namba
Format gani za Tanzania zinakubalika?

Format kama 0757123456, 757123456 au 255757123456 zinakubalika na ku-normalize kuwa 255… kabla ya kutuma.

Malipo
Available balance na reserved balance ni nini?

Available balance inaweza kutumika kwenye campaign mpya. Reserved balance imeshikiliwa kwa scheduled au confirmed campaign hadi itumwe, icancel au ireconcile.

Ratiba
Scheduled campaign inaweza kufutwa?

Ndiyo, kabla haijatumwa. Funds zinazostahili hurudi kutoka reserved kwenda available balance.

Delivery
Pending, sent, delivered na failed zina maana gani?

Pending inasubiri processing; sent imekubaliwa na provider; delivered imethibitishwa kufika; failed haikufanikiwa. Status hubadilika baada ya provider report.

Sender ID
Sender ID inaongezwaje?

Client anaomba Sender ID, kisha admin ana-review au ana-assign ID iliyoidhinishwa kwa account husika.

Opt-out
STOP inafanya nini?

STOP au opt-out huweka namba kwenye suppression list. Namba hiyo haitatozwa wala kutumiwa kwenye campaigns zinazofuata.

Reports
WhatsApp Read ina maana card imefunguliwa?

Hapana. Read ni status ya WhatsApp provider; Card opened hufuatilia private link ya card. SMS haina Read status kama WhatsApp. Failed delivery ya WhatsApp inaweza kutokana na restrictions za provider, si app error pekee; kagua sababu iliyorekodiwa kabla ya retry.

Ratiba
Nikischedule au kurudia SMS nikague nini?

Kagua tarehe/muda, recurrence na end date vinapopatikana, recipients na budget yote itakayokuwa reserved. Soma final confirmation. Usisubmit tena send iliyo queued au processing. Manual deletion/cancellation inahitaji confirmation yake na hairudishi messages ambazo tayari zimefika.

Malipo
Deposit bado ni manual payment request?

Screen ya Deposit kwa client sasa hutumia checkout salama ya ClickPesa. Salio huongezwa baada ya malipo kuthibitishwa. Kagua reference na status kabla ya kulipa tena; kufungua checkout si uthibitisho wa malipo.

Salio
Campaign iliyoconfirmiwa ikikosa salio inakuwaje?

Kwa campaigns za kawaida, final confirmation inaweza kuidhinisha automatic funding/sending salio la kutosha likiingia ndani ya payment window ya saa moja iliyoonyeshwa. Soma confirmation hiyo vizuri. Contribution reminders ni tofauti: zinahitaji review na confirmation yako baada ya alert ya salio pungufu.

Invitations
Kusave au kupreview card kunaituma?

Hapana. Hifadhi draft, fungua delivery review na ukamilishe confirmation ya mwisho. Preview ya ndani ya owner haipaswi kuhesabiwa kama guest amefungua; WhatsApp Read na Card opened ni fields tofauti kwenye report.

Invitations
Naweza kutumia SMS, WhatsApp au zote mbili?

Ndiyo. Chagua channel kabla ya review. SMS hutumia Sender ID iliyoidhinishwa na message editable; WhatsApp hutumia Invitation Card Preview iliyoidhinishwa inayopatikana pamoja na opt-in. Both huonyesha requirements na gharama za channels zote.

Invitations
SINGLE na DOUBLE zinafanyaje kazi?

Ruhusu Single/Double labels ukizihitaji. Permitted guests 1 itaonekana SINGLE na 2 DOUBLE kwenye card. Single/Double kwenye Excel hubadilishwa kuwa 1/2. RSVP na entry hutumia idadi ya recipient huyo; hakuna input tofauti ya maximum guests per invitation.

Picha
Picha ikizidi 12 MB inakuwaje?

Composer hujaribu kuioptimize/compress iwe chini ya limit ya kila picha kabla ya upload. Picha isiyosomeka/isiyokubalika au optimization iliyokataa inahitaji kubadilishwa au kupunguzwa manual. Fuata error iliyoonyeshwa na kagua draft iliyohifadhiwa kabla ya retry.

Repeat na retry
Repeat itatengeneza report tofauti ya invitation?

Send again, selected guests na new-guest batches hubaki ndani ya main invitation na management/scanner yake. Duplicate invitation ni tofauti: hutengeneza draft ya shughuli mpya.

Repeat na retry
Kwa nini hakuna watu eligible kwa retry?

Channels zilizofaulu au pending zinalindwa zisirudiwe. Chagua SMS, WhatsApp au both na ukague eligible count. Channel nyingine inaweza kukubalika kwa guest aliyefailed, lakini retry si resend kwa kila mtu.

Scanner
Lazima nichague invitation kabla ya scan?

Dashboard Scan card hufungua scanner na kutambua pass ndani ya invitations unazomiliki au zenye scan access yako. Private staff link ina access yake; kuwa na code pekee hakupi management/scanner access.

Scanner
Watu wa card moja wanaweza kufika tofauti?

Ndiyo. Soma QR au entry code, weka waliofika sasa tu na ubofye Verify. Nafasi zilizobaki hutumika hadi ziishe au muda wa matumizi uishe. Green/yellow/red kwenye scanner ni unused/partial/fully used.

Contributions
Nyanza Flash inapokea michango ninayorekodi?

Hapana. Contributions ni private register ya owner kwa ahadi/paid. Unaedit records mwenyewe. SMS wallet hulipia gharama za messages/cards kando.

Contributions
Scheduled reminders hutumia madeni ya zamani?

Hapana. Contribution reminders hutengeneza eligibility na kiasi kutoka records za sasa wakati wa kutuma. SMS wallet isipotosha, alert hutengenezwa na review inahitajika; top-up pekee haizitumi automatically.

Contributions
Naweza kurudia named message templates?

Ndiyo. Chagua default au saved template, iedit, update template iliyopo au save as new. Contribution placeholders zilizo kwenye list pekee ndizo zinakubalika.

Access
Private guest na staff links ni nini?

Guest link hufungua card/RSVP ya recipient huyo. Private staff link hutoa scanner au guest-manager access iliyosetwa. Linda links; regenerate/revoke inaweza kubadilisha access ya links ulizoshare awali. Card expiry huweka mwisho wa matumizi.

Policies
Acceptance history inaonekana wapi?

Clients hupitia required policies wanapoombwa. Super Admin huona compliance na versions za kila client, muda wa EAT, IP/user agent na CSV export. Hizi ni audit records, si uthibitisho wa eneo halisi/device identity.

Support
Nitumie nini support error ikitokea?

Tuma campaign/main reference au payment reference, muda, channel, error kamili na screenshot. Usishare passwords, OTPs, access tokens, private card/scanner links kamili au payment credentials. Kagua report iliyopo kwanza kuepuka duplicate sends.