v2.0.0
← HelpMasharti ya Matumizi
Taarifa muhimu za huduma na chaguo la promos na offers.
Tarehe ya kuanza: 05 Oct 2026 02:34
Kilichobadilika: Taarifa muhimu za huduma na chaguo la promos na offers.
1. Huduma
Nyanza Flash SMS hutoa zana za kuandaa, kupanga na kutuma ujumbe, invitations na taarifa zinazohusiana.
2. Akaunti
Mtumiaji anawajibika kutoa taarifa sahihi, kulinda password na OTP, na kutoruhusu matumizi yasiyoidhinishwa.
3. Wajibu wa mtumiaji
Mtumiaji lazima awe na msingi halali wa kuwasiliana na recipients, atumie Sender ID iliyoidhinishwa na aheshimu STOP/opt-out.
4. Gharama na provider
Makadirio hutegemea SMS units, encoding, placeholders na bei iliyopo wakati wa confirmation. Delivery hutegemea mitandao na provider.
5. Kusimamisha akaunti
Tunaweza kuzuia matumizi yanayohusisha fraud, spam, usalama au ukiukaji wa sheria/policies.
6. Mabadiliko
Mabadiliko makubwa yatahitaji acceptance mpya kabla ya kuendelea kutumia app.
Taarifa za huduma na matangazo
Kwa kukubali masharti haya, unakubali kupokea taarifa muhimu za akaunti, usalama, malipo na uendeshaji wa huduma kupitia namba ya simu au email uliyosajili. Taarifa hizi si promos au offers.
Promos na offers ni hiari. Chaguo lake huwekwa tiki kwenye usajili; unaweza kuondoa tiki kabla ya kujisajili au kubadili preference baadaye. Kuacha matangazo hakuzuii taarifa muhimu za huduma.
Content verification: 7459869d3b16…