Sender ID

Sender ID Tanzania Inavyofanya Kazi

Jinsi jina la mtumaji linavyoonekana na kwa nini linahitaji authorization.

Sender ID ni jina linaloonekana kama mtumaji wa SMS. Tumia jina lililoidhinishwa na provider na lenye uhusiano wazi na organization au tukio lako.

Hatua zinazopendekezwa

  1. Tumia taarifa sahihi na zenye ridhaa.
  2. Hakikisha namba na placeholders zimekuwa mapped.
  3. Kagua preview, encoding, SMS units na gharama.
  4. Fuatilia delivery na heshimu STOP/opt-out.