SMS za harusi

Mifano ya SMS za Harusi na Send-off

Mifano ya ujumbe wa mwaliko, reminder na mchango unaoweza kubinafsishwa.

Ujumbe mzuri una jina la mgeni, tukio, tarehe, eneo na action inayotakiwa. Tumia placeholders kwa taarifa zinazobadilika na uhakiki preview kabla ya kutuma.

Hatua zinazopendekezwa

  1. Tumia taarifa sahihi na zenye ridhaa.
  2. Hakikisha namba na placeholders zimekuwa mapped.
  3. Kagua preview, encoding, SMS units na gharama.
  4. Fuatilia delivery na heshimu STOP/opt-out.