Jinsi ya Kuandaa Excel ya Bulk SMS
Mwongozo wa kupanga columns za simu, majina, kiasi na event kabla ya kupakia Excel.
Excel ya bulk SMS inapaswa kuwa na headings zinazoeleweka kama phone, name, amount na event. Namba inaweza kuwa kwenye column yoyote; mfumo unakuruhusu kuchagua sheet, heading line na columns moja au zaidi za simu.
Hatua zinazopendekezwa
- Tumia taarifa sahihi na zenye ridhaa.
- Hakikisha namba na placeholders zimekuwa mapped.
- Kagua preview, encoding, SMS units na gharama.
- Fuatilia delivery na heshimu STOP/opt-out.