Sakinisha Nyanza Flash kwenye Android

Pakua APK, kisha ruhusu usakinishaji kwenye simu yako ya Android.

Version 1.4.5 (19) · 71.5 MB · Android 7+

Pakua Android APK

Kwa Android tu. APK haisakinishwi kwenye iPhone au kompyuta.

App ya majaribio

Hii ni preview iliyoboreshwa na kusainiwa kwa Android debug certificate. Inasakinishwa tofauti na app ya Play Store; haiisasishi wala kuibadilisha.

Jinsi ya kusakinisha

  1. Fungua ukurasa huu kwenye Android yako na upakue APK.
  2. Fungua faili uliyopakua. Android ikiomba, ruhusu browser hii kusakinisha apps, kisha chagua Install.
  3. Fungua Nyanza Flash na uingie kwa akaunti yako ya kawaida. Zima ruhusa ya browser ya kusakinisha baada ya kumaliza.
Uthibitisho wa faili (SHA-256)

e40f8a52e8fde4facf1691b07a86507b9a9224d8d7c2c9ac5e9248cf06cd1d67