NyanzaFlash SMS

BUSINESS MESSAGING, PERSONAL CONNECTIONS

Business yako.
Connections za maana.

Jenga customer relationships kupitia SMS. Tuma promotions, business updates na reminders kwa brand name yako, muda unaokufaa.

Personalised messagesTuma sasa au schedule

Kuanzia TZS 15 / SMS Angalia pricing

Mfanyabiashara mwenye tabasamu akishika simu, tayari kuwasiliana na customers.
Business SMS
BRAND YAKOSample message

Hi Amina, New collection imefika! Karibu store uone products mpya tulizokuandalia.

MADE FOR BUSINESS. BUILT FOR CONNECTION.
KWA BUSINESSES ZINAZOUNGANISHA WATU
Retail Education Services Hospitality Teams

ZAIDI YA MESSAGE

Customer relationships.
Business bora.

Keep customers informed na engaged. Zana za business messaging, zote kwenye workspace moja.

01

Personal touch, kwa wengi

Weka jina la customer kwenye message. Campaign moja yenye personal touch kwa kila recipient.

02

Brand yako ionekane kwanza

Request Sender ID ili customers waitambue business yako message ikifika.

03

Customer lists, kwa mpangilio

Upload CSV, paste numbers au tumia saved lists. Andaa audience yako kwa hatua chache.

04

Plan, review, kisha send

Review segments kabla ya kutuma, schedule campaign na ufuatilie sending status.

SMS kwa biashara kama yako

Biashara tofauti. Connection ya karibu.

Kuanzia offer mpya hadi reminder muhimu, wape customers na timu yako updates kwa wakati.

Mmiliki wa duka la electronics akitumia simu kwenye counter yake.

Wape customers sababu ya kurudi.

Share bidhaa mpya, offers za msimu na collection reminders kwa customer list yako.

SAMPLE SMS

Hi Amina, weekend offers zetu zimeanza. Karibu dukani leo uchague kitu utakachopenda.

Msimamizi wa shule akitumia simu ofisini karibu na darasa.

Wazazi wapate updates kwa wakati.

Tuma meeting reminders, tarehe za term na school notices kwa wazazi na walezi.

SAMPLE SMS

Dear parent, school meeting yetu ni Ijumaa saa 10 am. Tunatarajia kukuona.

Mmiliki wa delivery business akiangalia simu pembeni ya parcel iliyo tayari kutumwa.

Kila order, mawasiliano ya karibu.

Wajulishe customers kuhusu dispatch, collection details na delivery updates za orders zao.

SAMPLE SMS

Hi James, order yako iko tayari kwa dispatch. Timu yetu itakupigia ku-confirm delivery.

Timu ya hospitality ikipitia guest update kwenye simu.MESSAGE SAHIHI. MUDA SAHIHI.
Appointment reminder

Hi Juma, reminder ya appointment yako kesho saa 4 asubuhi. Karibu!

SAMPLE SMS
Order update

Hi Amina, order yako iko ready kwa collection. Asante kwa shopping nasi!

SAMPLE SMS

KILA MESSAGE INA BUSINESS VALUE

Stay connected
na customers wako.

Launch offer mpya, share update muhimu au remind customer kuhusu appointment. Fanya communication iwe sehemu ya growth yako.

Leta business yako karibu

ANZA KWA STEPS NNE

Kutoka business idea hadi customer inbox.

Fungua business account
01

Fungua account

Sign up, kisha request Sender ID ya business yako.

02

Andaa campaign

Nunua SMS segments, ongeza contacts na uandike message.

03

Review na send

Check segments zinazohitajika. Send now au chagua schedule.

04

Angalia Report

Angalia sending status na matumizi ya SMS kwenye campaign report yako.

PRICING ILIYO WAZI

Audience yako.
Budget yako. Pace yako.

Segments zinabaki kwenye account yako. Kabla ya confirm campaign, utaona segments zinazohitajika kwa message na recipients wako.

  • Review matumizi kabla ya send
  • Ona balance na order history
  • Top up business ikihitaji
BULK SMS · TANZANIA

Kuanzia

TZS 15

kwa SMS segment

Login kuona bei za packages na kuchagua SMS top up yako.

Anza na Nyanza Flash Message ndefu au special characters zinaweza kutumia zaidi ya segment moja kwa recipient.

MAMBO YA KUJUA

Kabla ya first send.

Mambo ya kukusaidia kuanza messaging kwa confidence.

SMS segment ni nini?

Segment ni sehemu inayohesabiwa kwenye gharama ya SMS. Ujumbe mmoja unaweza kutumia segments zaidi ya moja kulingana na urefu na encoding. Jumla ya matumizi hutegemea segments za ujumbe uliokamilishwa kwa kila recipient; hakiki preview kabla ya kutuma.

Bei ya SMS inapangwa na nani?

Admin hupanga bei na anaweza kuibadilisha muda wowote kwa manunuzi mapya. Angalia bei ya idadi unayonunua na jumla kabla ya kulipa. Mabadiliko ya bei hayaathiri idadi ya segments ulizonunua tayari wala kukutoza nyongeza kwa segments hizo.

Sender ID ni nini na ninaipataje?

Ni jina linaloonekana kama mtumaji wa SMS. Tuma ombi la jina la biashara yako kupitia akaunti; admin hulikagua na kuliweka likiidhinishwa. Jina linaweza kuwa na characters zisizozidi 11, spaces zikihesabiwa. Tumia jina unaloruhusiwa kutumia; muda wa approval hutegemea uhakiki.

Ninaangalia report wapi?

Fungua Reports au campaign husika kwenye akaunti. Kagua status za recipients, delivery na matumizi ya segments yanayoonyeshwa. Status inaweza kubadilika baada ya ripoti mpya ya provider. Tumia campaign reference unapohitaji msaada kuhusu ujumbe fulani.

Android APK ni ya SMS au Invitations?

APK ya sasa imeunganishwa na Invitations & Contributions kwenye invitations.nyanzaflash.com. Jina la package/download linaweza bado kuwa na SMS kutoka app ya awali. Kwa SMS system inayojitegemea, tumia browser kwenye sms.nyanzaflash.com. Wageni wanaweza kuona cards bila app.

Angalia FAQ zote

NEXT CONNECTION INAANZIA HAPA

Your next message.
Your next business opportunity.

Fungua business account

Una account tayari? Ingia hapa