NYANZA FLASH · KILA TUKIO, KARIBU ZAIDI

Mialiko. Michango.
Ujumbe unaofika.

Kutoka mwaliko wa kwanza hadi shukrani za mwisho. Tengeneza kadi za kuvutia, simamia michango na wasiliana na wageni wako—sehemu moja.

Angalia sampuli bila akaunti · Tumia simu au kompyuta

Mandhari ya mfano ya sherehe ya harusi kwenye bustani
✦ KILA SHEREHE INA HADITHI
N & DKARIBU KUSHEREHEKEA NASINeema & DanielFungua kadi ya mfano ↗
✓
Kila mgeni, kwa jina lakeHabari Amina, karibu kusherehekea nasi…
Kadi zenye jina la mgeniAhadi na malipo sehemu mojaHakiki kabla ya kutuma

HUDUMA ZETU

Shughuli yako. Mpangilio wako.

Chagua huduma unayohitaji, au tumia zote pamoja.

01 / INVITATIONS

Mwaliko unaokumbukwa

Kadi za kidigitali zenye taarifa za shughuli, jina la mgeni na muonekano unaoupenda. Tuma mialiko, kisha malizia kwa kadi ya shukrani.

Chagua sampuli →
02 / CONTRIBUTIONS

Kila ahadi iwe wazi

Rekodi ahadi na malipo, ona kiasi kilichobaki na andaa vikumbusho vya SMS kwa wanaohitaji kukumbushwa.

Angalia mfano wa michango →
03 / SMS CAMPAIGNS

Ujumbe binafsi, kwa wengi

Ongeza recipients kwa Excel, contacts au manual. Andika ujumbe, hakiki gharama, tuma sasa au panga muda na fuatilia delivery.

Angalia mfano wa SMS →

SAMPULI ZA KADI

Siku ya pekee. Mwaliko wa pekee.

Fungua kadi uone jinsi mgeni wako atakavyoipokea. Hizi ni taarifa za mfano.

MFUMO WA MICHANGO

Ahadi hadi malipo. Unaona kila hatua.

Badala ya kutafuta taarifa sehemu tofauti, weka majina, ahadi na malipo yaliyorekodiwa kwenye register moja.

  • Ona waliomaliza, waliolipa sehemu na wenye salio.
  • Andaa vikumbusho binafsi vya SMS.
  • Pakua kumbukumbu zako kwa CSV / Excel.
Anza kusimamia michango →

Mfumo unasimamia kumbukumbu za ahadi na malipo unayoweka; demo hii haipokei malipo.

Harusi ya Neema & DanielMFANO
Ahadi5,000,000
Yaliyorekodiwa kulipwa3,200,000
Kilichobaki1,800,000

TZS · 64% ya ahadi imerekodiwa kulipwa

Majina machache ya mfano kutoka kwenye register.

AminaAhadi: TZS 200,000
TZS 0Salio
Amemaliza
JumaAhadi: TZS 300,000
TZS 200,000Salio
Ana salio
RehemaAhadi: TZS 150,000
TZS 150,000Salio
Ana salio
Angalia mfano wa kikumbusho

Habari Juma, asante kwa mchango wako wa TZS 100,000. Salio la ahadi yako ni TZS 200,000. Tunathamini ushirikiano wako.

Mfano tu — hakuna SMS inayotumwa.
NYANZA FLASH · SMS
Habari Amina, tunafurahi kukualika kwenye harusi yetu. Fungua kadi yako kupitia kiungo tulichokutumia. Karibu kusherehekea nasi!
Mfano wa ujumbe binafsi

WASILISHA KWA URAHISI

Kwa jina lake. Kwa wakati wako.

Mialiko, vikumbusho au taarifa za shughuli. Hakiki ujumbe wa kila mpokeaji na gharama kabla ya kutuma, kisha fuatilia hali ya delivery.

Anza campaign ya SMS →

ANZA KWA HATUA CHACHE

Wazo lako liwe tayari kutumwa.

01

Chagua huduma

Kadi, michango au SMS.

02

Weka taarifa

Taarifa za shughuli na wapokeaji.

03

Hakiki

Muonekano, ujumbe na gharama.

04

Tuma au simamia

Fuatilia delivery na kumbukumbu zako.

GHARAMA ZILIZO WAZI

Jua gharama kabla ya kuthibitisha.

Gharama hutegemea huduma, idadi ya wapokeaji na urefu wa ujumbe. Mfumo huonyesha makadirio kwenye review kabla ya kutuma.

Angalia bei →

UNA SWALI?

Kabla hujaanza.

Maswali zaidi →
Nahitaji akaunti kuona sampuli?

Hapana. Fungua sampuli hapa bila kuingia. Akaunti inahitajika unapotengeneza kadi au kusimamia huduma zako.

Naweza kutumia simu?

Ndiyo. Unaweza kutumia mfumo kupitia browser kwenye simu au kompyuta.

Kadi za shukrani zina RSVP au QR?

Hapana. Kadi za shukrani ni za kuwasilisha shukrani, bila RSVP, QR au mgao wa Single/Double.

Michango inalipwa hapa?

Register inasaidia kurekodi ahadi na malipo uliyopokea, kuona salio na kuandaa vikumbusho.

NYANZA FLASH

Shughuli inayofuata? Ianze hapa.

Mialiko ya kuvutia. Michango iliyo na mpangilio. Mawasiliano rahisi.

Fungua akaunti ↗Tayari una akaunti? Ingia

ANDROID APP · PREVIEW

Nyanza Flash, kwenye simu yako.

Pakua app ya Android na uendelee na mialiko, michango na SMS kupitia akaunti yako ya kawaida.

Android 7+ · Toleo la preview · Link hii hupakua toleo jipya lililochapishwa. Kwa iPhone, tumia mfumo kupitia browser.